Anglogold Ashanti - Geita Gold Mine
Anglogold Ashanti - Geita Gold Mining Limited (GGML)) imeongeza uwekezaji wake katika idara mbalimbali za utoaji haki ili kuunga mkono juhudi Serikali. Kampuni hiyo imetumia shilingi za Tanzania 36,451,618 katika ujenzi wa maeneo ya kusubiri yaliyofunikwa na kuongeza maegesho ya magari karibu na Mahakama ya Mkoa wa Geita.
Read more